KWAKO....

KWAKO...
Je unajaribu kupata ujauzito bila mafanikio? Usijali mpendwa hauko peke yako kwani kuna wanawake wengi duniani wapo kama wewe, hata mimi nilikuwa kama wewe. Nilijaribu kwa miaka mitano ndio nikafanikiwa. Najua unavyojisikia kwa sasa, na labda unadhani kwamba maisha hutofanikiwa na unajihisi kuwa wewe ni kiumbe usie na bahati ulimwenguni. Nakuelewa sana, tena sana zaidi ya unavyodhani, na wala sikulaumu kwani hata mimi nilikuwa na mawazo kama yako, na huenda niliwaza mabaya kuliko hayo. Lakini niamini mpendwa miujiza ipo na inatokea kwani nguvu ya Mungu ni kubwa na hakuna wakuishinda, na may be, my little secret can help you....

MUST WATCH...

Loading...

karibuni

Karibuni katika blog yetu ambayo itakuwa ikizungumzia kuhusu masuala ya uzazi hasa kwa wale wenye matatizo ya kuchelewa kupata watoto (infertility). Hapa tutajadili chanzo cha matatizo hayo na njia zinazoweza kutumika kuondoa tatizo hilo pamoja na kupeana ushauri na nasaha katika masuala mbalimbali yanayohusu uzazi. "KWA NEEMA YA MUNGU KILA MWANAMKE ATANYONYESHA"

Friday, 23 March 2012

10 Popular sayings that hurt people with infertility- INFOGRAPHIC

Words That Hurt People with Infertility - Infographic
Via: FertilityNation.com

0 comments:

Post a Comment